News and Events Change View → Listing

TANZANIA YAHIMIZA MATAIFA MAKUBWA KUENDELEA KUZIFUTIA MADENI NCHI ZA OACPS

Tanzania imeendelea kuhimiza umuhimu wa mataifa makubwa kuzifutia madeni nchi za Jumuiya ya nchi za Afrika, Caribbean na Pasifiki (OACPS) zilizoathiri na janga la COVID-19 pamoja na kuyataka mataifa hayo…

Read More
Tanzania ePassports, 2019

Utaratibu wa kupata pasipoti mpya

Baada ya maulizo mengi kuhusu utoaji wa Pasipoti Mpya, ufuatao ni utaratibu wa kushughulikia zoezi hilo katika nchi za uwakilishi wetu*: A. KUNUNUA FOMU Mwombaji anaweza kuja Ubalozini na pasipoti…

Read More

Dkt. Ndumbaro aeleza mikakati ya Tanzania katika kunufaika na Programu ya ACP

TAARIFA KUHUSU USHIRIKI WA TANZANIA KWENYE MKUTANO WA 109 WA BARAZA LA MAWAZIRI WA NCHI ZA AFRIKA, KARIBBEAN, NA PASIFIKI (ACP) NA MKUTANO WA 44 WA PAMOJA WA BARAZA LA MAWAZIRI WA ACP NA UMOJA WA ULAYA, TAREHE…

Read More

Online VISA Application (e-VISA)

This is to inform all Visa applicants and the general public that the United Republic of Tanzania has launched Online Visa Application System effective since 10th Jan, 2019. For those who wish to travel…

Read More

NOTICE TO TRAVELLERS PLANNING TO VISIT TANZANIA

NOTICE TO TRAVELLERS PLANNING TO VISIT TANZANIA

Read More

UBELGIJI NA TANZANIA ZAPANIA KUDUMISHA URAFIKI NA KUONGEZA USHIRIKIANO

Ubelgiji na Tanzania zimedhamiria kudumisha urafiki na kuongeza zaidi ushirikiano katika ubia wa maendeleo, uwekezaji, biashara, utalii na masuala mengine ya Kikanda na kimataifa. Hayo yalielezwa wakati wa…

Read More

BALOZI SOKOINE AKUTANA NA WATANZANIA UBELGIJI

Balozi wa Tanzania nchi Ubelgiji Mh:Edward Joseph Sokoine akutana na baadhi ya watanzania waliofika jana kwenye kikao cha kusikiliza na kutafutia ufumbuzi kero za watanzania wanaishi mbali na Tanzania.

Read More

Balozi Pindi Chana atembelea mpaka wa Horohoro

Balozi Pindi Chana atembelea Mpaka wa Horohoro Leo na kukutana na Maafisa wa mpakani.

Read More