Balozi Jestas Abuok Nyamanga Afanya Mazungumzo ya Kushauriana na Kaimu Mkurugenzi wa Masuala ya Afrika wa Umoja wa Ulaya
Tarehe 8 Desemba 2025 Balozi Jestas Abuok Nyamanga alikutana kwa mazungumzo na Bw. Geza Strammer, Kaimu Mkurugenzi wa Masuala ya Afrika katika Kurugenzi ya Ubia wa Kimataifa ya Umoja wa Ulaya ambapo walijadili masuala mbalimbali… Read More




